Isaiah 59:15


15 aKweli haipatikani popote,
na yeyote aepukaye uovu huwa mawindo.

Bwana alitazama naye akachukizwa
kwamba hapakuwepo haki.
Copyright information for SwhKC